• Kile Wabahá’í Wanachoamini — Ukurasa wa Nyumbani
  • Bahá’u’lláh na Ahadi Yake
  • Maisha ya roho
  • Mungu na Muumbo Wake
  • Mahusiano ya Kimsingi
  • Amani ya Ulimwengu

Kile Wabahá’í Wanachoamini

Itikadi za kimsingi za Imani ya Kibahá’í zimepangwa kwenye tovuti hii katika nyanja kadhaa za maudhui. Hapa unaweza kutumia muda kusoma kuhusu vyanzo vya Imani ya Kibahá’í na kuchunguza kanuni na mafundisho ambayo huwahamasisha wanajumuiya wa jamii ya Kibahá’í kote ulimwenguni.

Kile Wabahá’í Wanachoamini — Ukurasa wa Nyumbani »
  • Maelezo ya jumla ya sehemu hii — Asili ya Imani ya Kibahá’í na chanzo cha umoja wake wa kipekee.
  • Báb — Báb ni Mtangulizi wa Imani ya Kibahá’í
  • Bahá'u'lláh — Bahá’u’lláh ndiye Mwahidiwa aliyetabiriwa na Báb na Mitume wote Watakatifu wa zamani
  • ‘Abdu’l‑Bahá — Bahá’u’lláh alimteua mwanae mkubwa kabisa, ‘Abdu’l‑Bahá, kama mfasiri wa mafundisho Yake na Mkuu wa Imani.
  • Shoghi Effendi — Mlezi wa Imani ya Kibahá’í, aliteuliwa na Babu yake, ‘Abdu’l‑Bahá
  • Nyumba ya Haki ya Ulimwengu — Halmashauri ya utawala ya Kimataifa ya Imani ya Kibahá’í, ambayo kuundwa kwake kuliamriwa na Bahá’u’lláh
  • Maelezo ya jumla ya sehemu hii — Roho inayodumu milele, kusudi la maisha, na maendeleo ya sifa za kiroho
  • Roho ya Binadamu — Roho inayodumu, yenye utashi hupita katika dunia hii kwa kipindi kifupi na huendelea kwa milele kuelekea kwa Mungu.
  • Ibada — Vitendo vya ibada kama sala, tafakari, kufunga, hija, na huduma kwa wengine na nafasi yake katika maisha ya kidini
  • Maisha ya Utoaji kwa Ukarimu — Tunafikia kusudi letu la juu kabisa katika maisha ya huduma ambapo tunajitolea kwa ukarimu muda wetu, nguvu, maarifa, na rasilimali fedha.
  • Sifa na Mienendo — Uendelezaji wa sifa za kiroho katika dunia hii hautengamani na uboreshaji uendeleao wa mienendo yetu
  • Maelezo ya jumla ya sehemu hii — Mungu, ufunuo, binadamu, ulimwengu wa asili, na maendeleo ya ustaarabu
  • Ufunuo — Mungu, Muumba wa ulimwengu, hukuza uwezo wa kiakili na wa kimaadili kupitia mafundisho ya Wadhihirishaji wa Mungu.
  • Ulimwengu wa Kiasili — Uzuri, utajiri na utofauti wa ulimwengu wa asili ni vielelezo vya sifa za Mungu.
  • Ustaarabu Unaoendelea Mbele Daima — Binadamu, baada ya kupita umri wa uchanga na utoto, sasa husimama kwenye kizingiti cha ukomavu wake wa pamoja
  • Maelezo ya jumla ya sehemu hii — Ukuzaji wa mahusiano miongoni mwa watu binafsi, jumuiya, na asasi ambayo yanaakisi kanuni ya umoja wa binadamu.
  • Mtu Binafsi na Jamii — Kadri wanadamu wanavyojitokeza kutoka utoto na kukaribia ukomavu wake wa pamoja, hitaji la uelewa mpya wa mahusiano kati ya mtu binafsi, jumuiya, na asasi za jamii linakuwa ni la kushinikiza zaidi.
  • Familia Moja ya Binadamu — Itikadi kwamba sisi ni wa familia moja ya binadamu ipo katika kiini cha Imani ya Kibahá’í.
  • Utaratibu wa Kiutawala wa Kibahá’í — Shughuli za jamii ya Kibahá’í hutawaliwa kupitia mfumo wa asasi, kila moja na uwanja wa utendaji uliowekwa dhahiri.
  • Utangulizi — Kanuni zinazohitajika kwa ajili ya upatikanaji wa amani na ujenzi wa ustaarabu mpya wa ulimwengu
  • Kile Wabahá’í wanachofanya — Ukurasa wa Nyumbani
  • Mwitikio kwenye Mwito wa Bahá’u’lláh
  • Maisha ya Ibada
  • Maisha ya Familia na Watoto
  • Vijana
  • Uwezo wa Kiasasi
  • Ushiriki katika Maisha ya Jamii

Kile Wabahá’í wanachofanya

Sehemu hii ya tovuti huchunguza njia mbalimbali ambazo kwazo Wabahá’í—binafsi, kwa pamoja, na kupitia kazi ya asasi zao—wameitikia kwenye Ufunuo wa Bahá’u’lláh, kutoka mwanzo wa Imani katika Uajemi na Mashariki ya Kati hadi jumuiya ya kiulimwengu ya Kibahá’í leo.

Kile Wabahá’í wanachofanya — Ukurasa wa Nyumbani »
  • Maelezo ya jumla — Kusudi lenye malengo mawili ambalo ni la msingi kwa maisha ya Kibahá’í
  • Maelezo ya jumla — Uunganishwaji wa huduma na ibada katika maisha ya jamii ya Kibahá’í.
  • Maelezo ya jumla — Umuhimu wa familia na elimu ya watoto
  • Maelezo ya jumla — Juhudi za vijana wa Kibahá’í kuchangia kwenye uboreshaji wa ulimwengu.
  • Maelezo ya jumla — Maendeleo ya miundo ya kiutawala ya jumuiya ya Kibahá’í na uboreshaji wa michakato yake husika.
  • Maelezo ya jumla — Kufanya kazi sambamba na wengine kwa uendelezaji mbele wa ustaarabu wa kimwili na wa kiroho
  • Kile Wabahá’í Wanachoamini
  • Kile Wabahá’í wanachofanya
  • Kile Wabahá’í Wanachoamini — Ukurasa wa Nyumbani
  • Bahá’u’lláh na Ahadi Yake
  • Maisha ya roho
  • Mungu na Muumbo Wake
  • Mahusiano ya Kimsingi
  • Amani ya Ulimwengu
  • Kile Wabahá’í wanachofanya — Ukurasa wa Nyumbani
  • Mwitikio kwenye Mwito wa Bahá’u’lláh
  • Maisha ya Ibada
  • Maisha ya Familia na Watoto
  • Vijana
  • Uwezo wa Kiasasi
  • Ushiriki katika Maisha ya Jamii